SIFA ZA MWOMBAJI
-
Awe na elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea
-
Awe na uwezo wa kusoma na kuandika
-
Awe tayari kujifunza
ANGALIZO:
Hakikisha taarifa unazojaza kwenye FOMU YA MAOMBI ni za uhakika, na ukishamaliza kujaza taarifa zako bonyeza KITUFE (Button) ya submit ili kutuma taarifa zako kwenda GS POWER TRAINING CENTRE.
Utapigiwa simu muda mchache baada tu ya kutuma taarifa zako na pia tutakutumia barua pepe ili kukujulisha kuwa taarifa zako zimepokelewa kwetu.
Ahsante sana kwa kuchagua GS POWER TRAINING CENTRE.